Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Haya ni mambo ya FacebookYani mtu na akili zako ukae kusimilia mapenzi ya watu wengine?
Huu ndio usasa au ni ujinga tu?
tumsamehe tu! labda kwasababu ana online tv anajitaidi kuweka maudhui yote kuvuna wateja.Yani mtu na akili zako ukae kusimilia mapenzi ya watu wengine?
Huu ndio usasa au ni ujinga tu?
Kama bandari na DP WOLRDKwa sasa Habari ya mjini ni MARIOO na PAULA ambao wapo kwenye mapenzi shata shata.
Paula ambaye ni mtoto wa Mastaa wawili Bongo Kajala Masanja na mtayarishaji wa muziki wa Bongo Fleva P-FUNK Majani aliwahi kuhusishwa na penzi la Rayvanny.
Siku za hivi karibuni amenasa kwa Staa wa Hits kali Marioo ambaye ni mmiliki wa Label ya BAD NATION ambaye naye aliwahi kutrend kwenye midomo ya watu na mitandao ya kijamii kuhusishwa na penzi la Mimi Mars.
Kausha damu wale.Huyu Paula na mama yake Kajala Ni mafungu ya kukosa hawana nyota kbsa.
Najua Paula yupo na Marioo kimaslahi tu huko kafata tu pesa anataka kumfilisisha bure kijana wa watu.
Yani mtu na akili zako ukae kusimilia mapenzi ya watu wengine?
Huu ndio usasa au ni ujinga tu?