mi na wangu kila siku ngumi,halafu mwanamke mwenye asha ngedere,kila jioni karibia jua linazama lazima tuonyeshe show moja ya bure
Funny.......
Back to topic: Nadhani kila fight ina sababu zake, ina mazingira yake na kwa hivo itakua na outcome zake. the fact that one agreed to end the fight even if he didn't agree with his partner, au the fact that you ended the fight with a kiss (or more) bila kutatua shida does not mean that itakua hivo kila siku.
Sikumbuki ugomvi wa kwanza maana its been a while ila nakumbuka kwamba zilikua zinaisha vizuri. Hamna kupigana, hamna kutukanana.
Someone once told me that:-
"couple's first fight sets tone for all future's arguments"
Je kauli hii ina ukweli? Tujikumbushe kwa kujibu maswali yafuatayo:-
Do u remember ur first fight? What was it about!
Who started it?
How long did it last?
Was there any compromise or someone just gave in?
............
What about the other fights, did they take the same trend?
How much time do they usually take?
Kaunga@ BAK
Hiyo ya kuondoka tu; haiwezi let's shida baadaye? Huyo mpenzi wako hawezi kuona una mu ignore au kumdharau!
Na pia hiyo ndo itakuwa inatumika kila kunapotokea kutoelewana?
Purple
Hiyo ya kununiana kwa zaidi ya siku 3, na kutoaminiana naona ndicho kilichowafanya muone hamuwezi kuishi pamoja! Na laiti kama, (l think) ule ugomvi wa kwanza mngeutafakari kwa undani; maybe msingepoteza muda wote (miaka 3 umesema?) na kila mmoja angetafuta a better partner! Unalionaje hili?