VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
- Thread starter
-
- #21
i guess inategemea na wewe mwenyewe ukoje,kama mtu unajijua mzuri unaamini unavutia na unapenda kujiweka smart-utataka mtu wa aina yako.....ila kama viwango vyako ni duni kama mie utasettle for less:laugh::laugh::laugh::twitch:
Sisi waswahili tunasema elimu haina mwisho....! Kwenye suala la kubadilika tabia wala sihitaji mifano kutoka nje...mimi mwenyewe najiona jinsi nilivyobadilika kitabia. Wakati nikiwa na miaka 20 na sasa kuna tafauti kubwa sana ya kitabia. Kwa nini nimebadilika?...mzingira yamebadilika, aina ya interaction zimebadilika, elimu imebadilika, umri pia umebadilika, ....nk..nk!
Usisahau pia kadr unavyopata umri mabadiliko ya kimwili(kama hormones levels nk) yanaweza kuji manifest kwenye mabadiliko ya tabia. Umewahi kujiuliza kwa nini wanawake wengi wanatoka (au potentially wanaweza toka) nje ya ndoa zao ni wa umri wa miaka 35 - 40 hivi (more so kama ana mume mwenye umri wa miaka 45 na kuendelea)?
:coffee::coffee:....Lol
No I dont mean kilema, what I mean is can your attraction for other qualities overcome the physical unattractiveness..., because even wale wa Mcdonalds labda once walikuwa okay.... and ladies and men as time goes on they loose their good qualities...,
Labda ngoja niweke wazi point yangu, maybe... really and everlasting love...., is the love beyond the looks, the inner beauty..... LOOKS ARE JUST NYONGEZA..., JUST A BONUS..... au unasemaje?
Mkuu tabia lets say upendo, uchoyo, hekima, na busara...., can you really learn it abrubtly au ni process ambayo ni kama kujifunza kutembea?
Going for the second best???? π
No I mean lets say am good looking and very smart...., will you be suprised if I go for a not so good looking girl ? au watu wataraise eyebrows maybe am materialistic...., na kama am wealthy people will say nimelogwa.... Point being why cant people just accept maybe there is something more just just looks?[/QUOTE
kwa kweli wengi hatu-picture how life would be after 20 years of marriage and having kids,wengi tungekuwa tunalifikiria hili nadhani looks isingepewa kipaumbele,hata hivyo sidhani kama ni vyema kuwa na mtu ambaye mnapishana saana kimuonekano!,hii inaweza kuleta clashes ndogo ndogo zinazosababishwa na insecurity!......kwa kweli ukienda kuopoa mtu ambaye sio good looking at all,na wewe ni handsome na other factors ziko constant utatuachia maswali mengi,is either hujijui km ww ni mzuri,hujiamini au kuna lingine unalolitafuta ktk huo uhusiano!lol,looks sio important saana ila pia sio jambo la kuwa neglected/avoided complete!...linaplay part yake.:coffee:
unajua unapokutana na mtu anakuvutia kwa jinsi alivyo..
huo ndo ukweli wa mambo..
na kama hujakutana na mtu na unaongea nae tu personality yake ndo itakuvutia..
kwa mimi hiyo everlasting love lazima iwe na combination ya hizo hapo juu the inner and the outer beauty..
tuongee ukweli tu ....
Love is the emotion of strong affection and personal attachment
Je unaweza ukafall for Kindness, Understanding, and Good Qualities without physical attraction
So unakubaliana na mimi when looking for a wife Uzuri usiwe kigezo..... hili liwe ni nyongeza.... Just a Bonus..., Mungu akinibariki kwamba anavyo vyote thank god..., lakini kama hajabalikiwa sura vingeni ni vya maana sana...?? au...kwa kweli wengi hatu-picture how life would be after 20 years of marriage and having kids,wengi tungekuwa tunalifikiria hili nadhani looks isingepewa kipaumbele,hata hivyo sidhani kama ni vyema kuwa na mtu ambaye mnapishana saana kimuonekano!,hii inaweza kuleta clashes ndogo ndogo zinazosababishwa na insecurity!......kwa kweli ukienda kuopoa mtu ambaye sio good looking at all,na wewe ni handsome na other factors ziko constant utatuachia maswali mengi,is either hujijui km ww ni mzuri,hujiamini au kuna lingine unalolitafuta ktk huo uhusiano!lol,looks sio important saana ila pia sio jambo la kuwa neglected/avoided complete!...linaplay part yake.:coffee:
naweza ndio. Ukitaka ufurahi maisha ya mapenzi usiweke physical attraction kama kigezo cha kumpenda mtu.
Kwanza mimi nawaogopa wanaume wazuri wa sura na maumbile. Lol!
Wamekaa kimayai halafu wengi wana nyodo (ooh jamani, samahani kwa mahandsome boy wa jf).
naweza ndio. Ukitaka ufurahi maisha ya mapenzi usiweke physical attraction kama kigezo cha kumpenda mtu.
Kwanza mimi nawaogopa wanaume wazuri wa sura na maumbile. Lol!
Wamekaa kimayai halafu wengi wana nyodo (ooh jamani, samahani kwa mahandsome boy wa jf).
Combination of the two ni perfect Love...(Oooh I Love One of Those, Remember the Marriage made in Heaven I told you about π )..., Lakini btn the Two Outer Beauty does not last lakini Inner Beauty Lasts for a lifetime because that does not change...
Tumekusamehe teh teh:biggrin1:!
u know even when ur 100 years old and show ur great great grand children pictures
they are gona say grand dad u look handsome..
they are not gona say u have got nice personality..
thats y we have to enjoy our outer beauty now coz is not gona be there forever......
kweli kabisa maana wazuri nao wanazaliwa kila siku sasa sijui utamuacha yupi umchukue yupi.Tena ikija kwenye mwenza wa kufunga pingu za maisha hiki kigezo usikiangalie saanaaa, sababu uzuri uanza kuyeyuka na mazoea unamuona ni wa kawaida na sio kama zamani
Nakubaliana na wewe in so far as passing good genes to the children.... π lakini hili naongelea from my own point of view nikiwa natafuta mke sijaangalia saanaa uzuri wa nje hiyo ni kama bonus...., akiwa mzuri Ooh thank god lakini, kama pote kuna tick hili la uzuri nitautafuta baadae..., afterall till death do us part is a long time.... na beautiful ones are not yet born
Nakubaliana na wewe in so far as passing good genes to the children.... π lakini hili naongelea from my own point of view nikiwa natafuta mke sijaangalia saanaa uzuri wa nje hiyo ni kama bonus...., akiwa mzuri Ooh thank god lakini, kama pote kuna tick hili la uzuri nitautafuta baadae..., afterall till death do us part is a long time.... na beautiful ones are not yet born
Usije tu ukaanza 'kuona noma' kuambatana nae! (joke:wink2π
Kuna namna mwili na akili yako inafanya kazi ya kuchagua ambayo huwezi kucontrol kwa namna unavyofikiri. Akili ya mwanadamu inauwezo mkubwa sana na inafanya kazi kimaajabu sana. Hivyo unavyosema 'sijaangalia saana uzuri wa nje', I can bet katika selection/sorting process akili yako imefanya uchambuzi kwa kuzingatia vigezo vingi sana ikiwa ni pamoja ni physical appearance.
Usije tu ukaanza 'kuona noma' kuambatana nae! (joke:wink2π
Kuna namna mwili na akili yako inafanya kazi ya kuchagua ambayo huwezi kucontrol kwa namna unavyofikiri. Akili ya mwanadamu inauwezo mkubwa sana na inafanya kazi kimaajabu sana. Hivyo unavyosema 'sijaangalia saana uzuri wa nje', I can bet katika selection/sorting process akili yako imefanya uchambuzi kwa kuzingatia vigezo vingi sana ikiwa ni pamoja ni physical appearance.
Hapana the meaning behind the Beauty aint yet born ni kwamba leo nakuona AD mzuri kwelikweli, nafall in love, kesho namuona Hus..., kumbe she is even better kesho kutwa aah kumbe na huyu yupo? before you know it nimemaliza half of JFexcuse me hapo kwenye green imeniuma sana hahahahahah lol
haya bwana mie nikiwa natafuta wangu ntaangalia vyote ...
na ntamtafuta ambae anaangalia vyote hahah lol