Q Qadhi JF-Expert Member Joined Oct 27, 2009 Posts 230 Reaction score 7 Feb 1, 2011 #61 VoiceOfReason said: Mkuu kweli kabisa sikatai hata mimi nikipata mwenye vyote mungu ashukuliwe..., lakini je penye wawili mzuri mapepe au wakawaida (sababu hakuna msichana mbaya) mwenye tabia murua, caring na very kind..... Ni yupi utamuweka ndani? Click to expand... Neither mkuu,nitaendelea kutafuta attractive kwangu(mzuri) na good qualities.Kwa kweli macho yangu kuridhika ninapomwangalia mke wangu ni muhimu sana.
VoiceOfReason said: Mkuu kweli kabisa sikatai hata mimi nikipata mwenye vyote mungu ashukuliwe..., lakini je penye wawili mzuri mapepe au wakawaida (sababu hakuna msichana mbaya) mwenye tabia murua, caring na very kind..... Ni yupi utamuweka ndani? Click to expand... Neither mkuu,nitaendelea kutafuta attractive kwangu(mzuri) na good qualities.Kwa kweli macho yangu kuridhika ninapomwangalia mke wangu ni muhimu sana.
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Feb 1, 2011 #62 Naona kila mtu anavutia kwake. Mmh!
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,324 Reaction score 17,846 Feb 1, 2011 #63 afrodenzi said: excuse me hapo kwenye green imeniuma sana hahahahahah lol haya bwana mie nikiwa natafuta wangu ntaangalia vyote ... na ntamtafuta ambae anaangalia vyote hahah lol Click to expand... AD, Mi nikidhani tayari....:coffee::coffee::coffee:
afrodenzi said: excuse me hapo kwenye green imeniuma sana hahahahahah lol haya bwana mie nikiwa natafuta wangu ntaangalia vyote ... na ntamtafuta ambae anaangalia vyote hahah lol Click to expand... AD, Mi nikidhani tayari....:coffee::coffee::coffee:
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,150 Reaction score 9,255 Feb 2, 2011 #64 Kaizer said: AD, Mi nikidhani tayari....:coffee::coffee::coffee: Click to expand... oooooops hope TF hata ona hii hahahahah lol
Kaizer said: AD, Mi nikidhani tayari....:coffee::coffee::coffee: Click to expand... oooooops hope TF hata ona hii hahahahah lol