zubedayo_mchuzi vipi tena mbona tulishafungishwa ndoa ya jadi?
hata mi namshangaa anamsahau shemeji yake
kwani mi domo zegeeeeee mpk nikonektiwe.............
waniwacheeee Heaven on earth nimetulia tulii na DEMBA
BishangaYNNAH na Judgement
watu8 na Maeskron
https://www.jamiiforums.com/member.php?u=41512[URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=151076"]Mr Rock na Mamndeny[/URL]i
Paw na King'asti
Nyani Ngabu na fidodido
Fixed Point nilimwacha mimi...umeachwa na Fixed Point? haya!
Huyo, nakwambia unaweza kushangaa umesahau ndoa ujue.
Hahaha Madame B wangu Mgonjwa
waniwacheeee Heaven on earth nimetulia tulii na DEMBA
ulifungishwa lini............kwani we mzigo mpka uletwe tu bile kuchaguliwa na kukubalika
hahahaaa....... Labda Heaven on earth mie huyu zilipendwa wangu nimeshamzoea
kwani mi domo zegeeeeee mpk nikonektiwe.............
kiwatengu we muache mkongwe asahaulike lol kweli ana gubu na wewe.........mwache najua anasababu... me ni opposer side ya uchair wake!