Wii kumuacha kaka ako wajua haiwezekani
I love you The secretary!!!!!
Huna mamlaka ya kuwatbua wenza.
Na hata kama unayo, nani kakupa?
Na lini amekupa?
TANGAZO HILI SI HALALI MAANA LIMETOLEWA NA MTU ASIYE HALALI.
hata mi namshangaa anamsahau shemeji yake
Nilisingiziwa mmoja humu nilitaka kutolewa macho sasa hivi nimekuwa mwoga!!nauoga wangu unanisaidia maana humu nikama Dangulo upende usipende!Kwa baadhi "quote"
Washawasha kwani we hutaki kufaidikweli watu wanafaidi.Nalog off
hata mi najua haiwezekani wii maana moyo wako upo kwake
Waarabu wa pemba......
hata mimi nina swali kama hilo hilo my dia.... Eti ndugu mwenyekiti tunaruhusiwa kuwa na smolhausi???