Sawa nakumbuka ilisambaratika na sikujua sababu.
Ok nimeiverify C6 usijali ila kwa uncle wangu baaaaaasi
Na ambao bado wanatongozana hawajafikia hatua ya "kuzindua penzi" tuwataje?
nasema SUUUUUU! wataje tuwajue nani mchumbaake nani!!!
Upo sahihi kabisa....couple hiyo haijathibitishwa....
nikitaja si utaniparura wewe?
Vin Diesel.........We couple yako ni ipi.........Upo sahihi kabisa....couple hiyo haijathibitishwa....
nikitaja si utaniparura wewe?
Slave we mbona yakwako sijaiona!!!!!hivi singnature yako inauhusiano na mada tajwa hapo juu ???
ukitaja asije akazirai bure.......mtu mwenyewe na karoho kadogo