Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Kwi kwi kwi teh teh teh! Kweli kanena kwa lugha.
Abee!!!!!
za jioni mpenzi wangu! Naomba ukuje home fasta kuna zawadi nimekuletea.
I miss u love....unakuja saa ngapi home
me love you 2,3 4......
kuna mahali naenda then baadae nitapitia hapo
Ina maana umemzunguka Arushaone ?
Nakusubiri mama watoto...
lazima nikumwagie tindikali huwezi muita my Arushaone mchicha
Nimekutafutia mimi49 unadengua zubedayo_mchuzi ?
siwezi mzunguka my mume, kuna kitu aliniagiza Vin Diesel nataka nimpelekee
wengi hawajui ukisema tindikali unamaanisha mate yako....njoo mama watoto nakusubiri....