Hebu leteni ushahidi... Mbona hivo???
Vin Diesel.........We couple yako ni ipi.........
wii Vin Diesel anapoteaga sana wake zake wote tushaolewa tena!
Wii Vin Diesel imekula kwake.....asiyekuwepo na lake halipo
Hata wewe unataka kunikana?
zubedayo_mchuzi vipi tena mbona tulishafungishwa ndoa ya jadi?
hapana sikukani ila namueleza hali halisi!
Ukweli gani tena huu unaotesa....
uadoptiwe kwani una miaka ngapi? hutaki mwenza weweya?sijui niombe ku adoptiwa umu?
umeachwa na Fixed Point? haya!Bado nipo nipo kwanza..
Kwetu wanaume ndo wanapeleka tangazo la ndoa ngoja nikae benchi kidogo.