Msiba Wa lyumba wa gari nyekundu... watoto wenzako wa mjini Leo wanaomboleza mfadhili amevutaHeeeee....msiba wa nani tena we mtoto wa Rais?
Niko porini huku.
Hebu nijuze kwanza, msiba wa nani tena?
Sijasikia shoga angu....jamani kwahiyo magari ndo basi tena.Msiba Wa lyumba wa gari nyekundu... watoto wenzako wa mjini Leo wanaomboleza mfadhili amevuta
Sijui..... Kwanini Alimuua mwanae....Sijasikia shoga angu....jamani kwahiyo magari ndo basi tena.
Maskini kamfata binti yake aliyemuua na ngoma
Inasemekana eti alitembea nae km 5 mpaka Kariakoo...akamuambukiza utembeaji wakeSijui..... Kwanini Alimuua mwanae....
Wewe n jinsia ganiNipo Single jamani hebu nitafutieni LIJIZIGO HAPO
Nani kin'gang'anizi?!! teh!teh!teh!!!...... You made my day!!!Kwa couple hizo nani kapanda....nani kashuka... nani king'ang'anizi?
Ha haa ana ubaguzi wa kiduanzi eeMbona couple yangu mimi na FaizaFoxy haujaitaja mkuu???..... Acha ubaguzi wa kiduanzi bhana!
heeeeeeeeeeee shem hivi ina maana hujui kuwa mm mume wangu nani?Hello wanajamvi!
Ninaomba kuweka wazi couples ninazozitambua hadi sasa na kama kuna ambao nimewasahau naomba wajitambulishe haraka tafadhari.
- Erickb52 na Chocs
- watu8 na measkron
- marejesho na Filipo
- DEMBA na Kaizer
- Arushaone na Lady doctor
- Arabela na nitonye
- Judgement na YNNAH
- zubedayo_mchuzi na mimi49
- Kabakabana na uporoto01
- sosoliso na Paloma
- Bishanga na The secretary
- Mungi na Lily Flower
- Mr Rocky na Dena Amsi
- Cantalisia na Rejao
- @c6 na charminglady
Kwa sasa naomba kuwatambua hawa....!
Wafuatao nimeshindwa kujua status zao! Madame B , Chimbuvu Ben Saanane Evelyn Salt Heaven on earth C6 charminglady beibe nasty Slave stevoh PakaJimmy sweetlady Vin Diesel Mamndenyi Dena Amsi Avemaria Nicas Mtei BAGAH Lucas KakaKiiza Nivea amu Mzee Mentor TANMO Preta mtu chake Blaki Womani Remmy snowhite gfsonwin ladyfurahia Mrembo by Nature na wote ambao sijawamention.
Hivyo naomba mnijulishe kama mko single au occupied au kama mna wanaume saba au wanawake saba saba the tujue tunafanyaje.
Mwenye malalamiko aseme na atasikilizwa na kamati nzima.
I remain
Erickb52
Mwenyekiti
Mumeo nani best?heeeeeeeeeeee shem hivi ina maana hujui kuwa mm mume wangu nani?
sina waume saba mie ni mmoja tu halafu unamjua ila yeye ndo kawekeza wanawake wengine ila wa ndoa ndo mm hahahahahahhahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ITAKUWA NGUMU KUKWAMBIA KWA MAANA HATA NIKIKWAMBIA HUWEZI KUMJUA BESTMumeo nani best?
Hello wanajamvi!
Ninaomba kuweka wazi couples ninazozitambua hadi sasa na kama kuna ambao nimewasahau naomba wajitambulishe haraka tafadhari.
- Erickb52 na Chocs
- watu8 na measkron
- marejesho na Filipo
- DEMBA na Kaizer
- Arushaone na Lady doctor
- Arabela na nitonye
- Judgement na YNNAH
- zubedayo_mchuzi na mimi49
- Kabakabana na uporoto01
- sosoliso na Paloma
- Bishanga na The secretary
- Mungi na Lily Flower
- Mr Rocky na Dena Amsi
- Cantalisia na Rejao
- @c6 na charminglady
Kwa sasa naomba kuwatambua hawa....!
Wafuatao nimeshindwa kujua status zao! Madame B , Chimbuvu Ben Saanane Evelyn Salt Heaven on earth C6 charminglady beibe nasty Slave stevoh PakaJimmy sweetlady Vin Diesel Mamndenyi Dena Amsi Avemaria Nicas Mtei BAGAH Lucas KakaKiiza Nivea amu Mzee Mentor TANMO Preta mtu chake Blaki Womani Remmy snowhite gfsonwin ladyfurahia Mrembo by Nature na wote ambao sijawamention.
Hivyo naomba mnijulishe kama mko single au occupied au kama mna wanaume saba au wanawake saba saba the tujue tunafanyaje.
Mwenye malalamiko aseme na atasikilizwa na kamati nzima.
I remain
Erickb52
Mwenyekiti
Kulikoni?Aisee...
Mimi je?Kulikoni?
We wako ni nani?Mimi je?
AlishanitemaWe wako ni nani?