Couples za JamiiForums

Kujitangaza au kutokujitangaza ni maamuzi binafsi na yafaa yaheshimiwe.
Wewe kama nani wa kuyaita mahusiano ya wengine sinema? Nakuona tu mara nyingi unayaita mahusiano yangu na Bold movie...
Behave bhana,this is too much.
Seriously? I cant believe u r incensed. Now let me behave you and the bold are for real and the best couple in jf.
 
ha ha ah .. wewe utakua humjui vizuri.. huyu ni ndugu yangu ana mpunga mrefu hatari.. ndio maana watoto wanamzimikia .. na sura yake ya mitindo.
kwahiyo ile picha ndo yeye kabisa mkuu na mimi nichangamkie fursa ?
 
Hahahaha, dada bhanah!.... Hahaha, nilimsahau. Nimemuacha kwanza asome huyo mtoto. Akimaliza tutaendelea. Seriously nimecheka sana.
Hahahaaaaa hata mimi nimecheka sana wakati nilipokuwa natype hiyo post.

Nilitaka tu kukuonesha kuwa bado namkumbuka wifi,siwezi kusubiri amalize masomo muendelee [emoji4]
 
Hahahaaaaa hata mimi nimecheka sana wakati nilipokuwa natype hiyo post.

Nilitaka tu kukuonesha kuwa bado namkumbuka wifi,siwezi kusubiri amalize masomo muendelee [emoji4]
Usiwaze sister. Second year now, hope atamaliza mwakani kama ataweza kuhimili mishale ya Supp na Disco. Hahaha, 2019 mambo yakienda vema vitu vingine vitafata.
 
Kujitangaza au kutokujitangaza ni maamuzi binafsi na yafaa yaheshimiwe.
Wewe kama nani wa kuyaita mahusiano ya wengine sinema? Nakuona tu mara nyingi unayaita mahusiano yangu na Bold movie...
Behave bhana,this is too much.
Nifah kuna mambo mengine kuyapotezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…