Ndio yeye.@dabykwahiyo ile picha ndo yeye kabisa mkuu na mimi nichangamkie fursa ?
Miss Chagga Kweri J5 pichu Inaenda kuvuliwaha ha ha
HahahaaaFrom now on I will just go and love my self, kumbe kila mtu ana mwenyewe
Hivi we couple yako na scorpio me imeishia wapi mana mlitamba humu jukwaaniCompact na Compact
Iv Dady Ni wakala wa Wanawake Jf auYes mwanamke tena mzuri saana
si kweli sivui wala sivuliwi nitagomaMiss Chagga Kweri J5 pichu Inaenda kuvuliwa
Ya ya ya yaaaaàahh Bahati Ilioje
Duuuuuuuhhh Kumbe Pesa nimeanza kuelewa somoha ha ah .. wewe utakua humjui vizuri.. huyu ni ndugu yangu ana mpunga mrefu hatari.. ndio maana watoto wanamzimikia .. na sura yake ya mitindo.
akuuh afadhaliNdio yeye.@daby
je sumbai anafaa mkuu ?Ndio yeye.@daby
muhandsome daby acha tu watoto wazuri wadate kwakwelNdio yeye.@daby
Nimecheka sana athee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Uwiiiiiiiiiiii
Acheni kumtania mama yangu Faiza.
Ah ah ah ah ah Huu Hutan wa Ngumi Ndani Ya 18 Jamaa ashindwe kushinda Goli.....!!!si kweli sivui wala sivuliwi nitagoma
Nahisi mnaweza kuwa wa jinsia moja... [emoji23] [emoji23]Wewe ni wa kiume au wa kike?
ndiyo mkuu nitampoteza maboya asahahu kutaka hiyo mamboAh ah ah ah ah Huu Hutan wa Ngumi Ndani Ya 18 Jamaa ashindwe kushinda Goli.....!!!
Nimempumzisha kwanza Mwanafunzi asome. Enhee, we couple yako nani?Hivi we couple yako na scorpio me imeishia wapi mana mlitamba humu jukwaani