Couples za JamiiForums

Mkuu wa kitengo kaniachia mikoba..

Ila hawa utawaweza huwa wananitaja kwenye sifa mbaya mbaya tu nzuri mnatajwa nyie.

Ha ha ha, mkuu mi sina neno, unajua vitengo vya back office hatupewi sifa kama nyie wa front office.

na marupurupu kama hayo yanaangukia kwenu, itabidi tufanye rotation aisee.
 
Ha ha ha, mkuu mi sina neno, unajua vitengo vya back office hatupewi sifa kama nyie wa front office.

na marupurupu kama hayo yanaangukia kwenu, itabidi tufanye rotation aisee.
Hahah....haya bwana nitakupigia nitakupigia.
 
Siamini kama dada yangu Nifah ananiona mimi hater......

Ha ha ha, watu wanataka JF ibadilike kuwa Facebook, mahali ambapo kila kitu ni kupeana sifa.

Halafu kuna watu wako so insecure na mapenzi yao, muda wote ukiongea hata kama huwaongei wao basi wanadhani umewasema wao.

Ukishaamua kuuweka uhusiano wako wazi, jipange kukutana na sifa au critics, na ni bora upate critics za ukweli zinaweza kukusaidia ukabadilika kuliko upewe sifa za kinafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…