Utatukanwa wewe......shauri yako
255 GeneT 1990 ELY na........
Wewe ni wa kiume au wa kike?255 Gene
MarioWewe ni wa kiume au wa kike?
naona wanaume mnapendana... ha!!!! ha!!! ha!!!Wewe ni wa kiume au wa kike?
Kuna jinsia ya mario mkuu?[emoji125] [emoji125] [emoji125]Mario
Asprin na Shunie hz couple nazipendaga sana... yaan wanapendana balaa..!!!!
bila kusahau The End.. na miss chagga hawa ndo moto wa kuotea mbali...!!!!
Kuna jinsia ya mario mkuu?[emoji125] [emoji125] [emoji125]
anakaa na ATM card... siku akiona hamna hela haji gheto.. mshahara ukiingia huyo fasta gheto... ila ntafanyaje sasa!!!Mkuu naona unang'ata na kupuliza hahah... Mpunga upo lakini??
daby ni wa kila mwanamkeDaby and husna muba
Mkuu kwa hilinaona wanaume mnapendana... ha!!!! ha!!! ha!!!
anakaa na ATM card... siku akiona hamna hela haji gheto.. mshahara ukiingia huyo fasta gheto... ila ntafanyaje sasa!!!
[emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]naona wanaume mnapendana... ha!!!! ha!!! ha!!!
Ww huna!...[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa mbona wameisha[emoji23][emoji23][emoji23]
kwako tena... wala sifurukuti... ATM card yangu si unayo... au ushadondosha!!!!
Utaenda jela shauri yako