Couples za JamiiForums

ha ha ha duuu.. ama kweli Daby ni mtu maya sana.
yani hadi dada yangu miss natafuta analijua hilo. huyu huwa hadanganyagi na harembi, yani akisema kitu 100$% ni ukweli
Nilishakuonya toka jana huyu mfanyakaz wa jf ana gubu na wivu balaa,,dady mbona mm masai mwenzako lakin nakula kwa macho tu?? Tulia wewe,,au wewe laiyoniii??
 
ha ha ah .. wewe utakua humjui vizuri.. huyu ni ndugu yangu ana mpunga mrefu hatari.. ndio maana watoto wanamzimikia .. na sura yake ya mitindo.
 
Ha ha ha nan kakuambia mvaa rubega mjini ana hela?? Wavaa rubega mereran ndio komesha,hapa town atakua na kaz mbili ulinzi au kusuka mabinti labda ndio maana wanamgombea
 
kwani umeambiwa kuwa yupo hapa mjini.
yupo mererani na a town
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…