For sure for sure...Kesi hiziiii shogangu ohoo..
Halafu kuachana mbona kawaida tu cha ajabu kipi???
That's all I can say.
Cc Smart911
Mi nimo umu shoga angu..Teh teh teh na uta tuua huu wivi mwambie aendelee kuturingishia uone tunavyo pauka ha ha haa
Hem mtag shem nawee tukuone
Basi na hapo mpaka aje wa kutafsiri[emoji3][emoji3][emoji3] Manga
Poa PoaAhahha nimemuona dada
Kwani uongoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana ujue nakugawa si kwa talaka kumi hizo
Ahahhaha aje kunitafsilia nini sasa jamaan Manga hujui tu unanifurahisha sana jaman nikikuona nacheka sana mpaka jana sakayo ananipa salam zako nimemwambia nimemmiss sana MangaBasi na hapo mpaka aje wa kutafsiri
Karibuuuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ooopppps wacha nishushe pumzi niendelee kusoma
Dada bwanaSawa Sawa
[emoji3][emoji3][emoji3]sijabisha dada jamaan kweli nimeachika kwa talaka 10Kwani uongoo
Kama nikweli nakufurahisha karibuAhahhaha aje kunitafsilia nini sasa jamaan Manga hujui tu unanifurahisha sana jaman nikikuona nacheka sana mpaka jana sakayo ananipa salam zako nimemwambia nimemmiss sana Manga
Kwani huyu dogo wako ni mchanga sana?Sawa Sawa
Nikaribie wapi Manga jaman na kuna nini huko pa kukaribiaKama nikweli nakufurahisha karibu
Ahahhah Manga umeanza ujueKwani huyu dogo wako ni mchanga sana?
Naona leo wagoshi wamekuandamaDada bwana
Hahaha[emoji3][emoji3][emoji3]sijabisha dada jamaan kweli nimeachika kwa talaka 10
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada mbavu zangu ujue bora tu nitongozwe na ndugu zangu tutawezana ujueNaona leo wagoshi wamekuandama
Kwa nini tena jamaniKwani huyu dogo wako ni mchanga sana?