Courage

Courage

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Courage
Inasemekana kwamba hakuna Mjasirimali aliye fanikiwa duniani bila kuwa na courage, ndo kitu pekee kinacho weza kukupeleka katika Dunia nyingine kabisa,

-Hatuweza fanikiwa katika biashara kwa just kuuza tu, make wengu tunaamini sales ndo kila kitu, bila kuwa na courage, ni kwamba siku usipo uuza kama wiki hivi kitakachpo fuata ni kufunga biashara.

Ni hali ya wewe kupambana na aina yoyote ile ya Uoga, Maumivu, vitisho, ukatishwaji tama na kazalika, watu wengi tumeshindwa kwa sababu ya kuogopa kufilisika, kuogopa kuchekwa time utakapo filisika au kushindwa,
Belive me bila kuweza kushinda, Uoga, hatari, vitisho na kazalika hutaweza fanikiwa.

Wewe kama Mjasirimali, hiki ndo kitu pekee unacho takiwa kuwa nacho ili wewe kuweza kusonga mbele, na wala si pesa, wangapi wanapesa ila hawawezi kuingia katika ujasiriamali? Ni wengi sana,

Courage ni hali yaw ewe Mjasirimali kuona usalama pale palipo na hatari, kuwa na furaha pale palipo na huzuni na kuwa na huzuni pale palipo na furaha

quote_208.jpg

 
Uwezo wa kufikiri ni nguzo ya mwanadamu, kutathmini na kuielezea kesho ndo iletayo tofauti ya maamuzi ya leo, Ujasiri ni silaha ya mwisho kuthibitisha usahihi wa tathmini/maono yako ya kesho. Ujasiri huu na uwezo wa kuona mbele vikitumiwa kusimamia rasilimali vema, msimamiaji anakua mjasiriamali mahiri.
 
Back
Top Bottom