Course bora kwa mwana art aliepasua vizuri

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
455
Reaction score
877
Jamani mimi kidogo uelewa wangu ni mdogo katika mambo haya.Nilkua naomba kufahamishwa juu ya kozi bora katika art ambayo mtu akipasua vizuri mtihani wa acsee inamfaa kusomea.Ni hilo jamani,sisi wengine bado tupo nyuma.
 
mkuu swal lako lina utata kdg, kwa ninavojua mtu kusomea kitu hasa mwenye uelewa uliopanuka huwa inategemeana na ndoto plus interest zake,sa ukituuliza course nzur ipi af nikakwambia baed au law wakati ww una mpango wa kusomea engineering wat will you do? uzur wa course hautegemei sana matokeo ya mtu bali interest ndg, all da best
 
Jamani mimi kidogo uelewa wangu ni mdogo katika mambo haya.Nilkua naomba kufahamishwa juu ya kozi bora katika art ambayo mtu akipasua vizuri mtihani wa acsee inamfaa kusomea.Ni hilo jamani,sisi wengine bado tupo nyuma.

LAW ndio course kuu kwa aliyesoma arts ila ajira ni swali jingine
 
Baed or bed or law.....! Overrrr
 
tambua uwezo wa kifedha kwenu pia,coz most of da courses whch belong to artists are non priority,keep it in ur consideration ucje ukahairisha mwaka bure the end of the day.
 
Kijana kuwa makini sana katika kuchagua kozi. Jaribu kuangalia koza ambayo ni mult-purpose,ikusaidie kutawala maisha yako popote ulipo.
Mfano: ukijiajiri ikupe skills,kuajiliwa ikujakikishie soko ktk sekta binafsi na ya umma. Kila la kheri
 
Soma what comes from your personal desires....

Wasuala ya sijui kupasua acsee,ajira,mshahara nk nk ni vitu baki kabisa katika maendeleo....

You need wisdom,insight and intelligence ili uwe na mafanikio ya maisha....
 
Ukimaliza shule nakupata tokeo zuri ni Pm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…