Wana jf kuna mdogo wangu(baba mdogo) ni wakiume yupo hapa Dar amemalza form four 2013 amepata division 4 ya point 39
sasa baba yake amemuambia anampa two weeks awe ameshafkria aende akasome course yeyote chuo cha ufundi veta.
je ni chuo gan cha veta chenye kutoa course vizur na course gan ambayo ina market kwa sasa ni rahis kupata kaz bila competion kubwa ya watu.
Tunaomba msaada wenu wa kimawazo ili huyu dogo aendlee kufurahia maisha coz he is so comfused in such.
YOUR VIEWS PLEASE!
jaribu hizi mkuu:
1. brickworks & masonry (3yr)
2. motor vehicle mechanics (3yr)
Mkuu huko VETA kwa hizo kozi ndefu huwa wanaanza januari, kwa maana hiyo asubiri mpaka mwakani hizo wiki mbili alizopewa labda itumike namna nyingineWana jf kuna mdogo wangu(baba mdogo) ni wakiume yupo hapa Dar amemalza form four 2013 amepata division 4 ya point 39