Course gani fupi za miezi angalau sita ambazo zinaweza kuwa na faida kwa aliyemaliza Form Four?

Course gani fupi za miezi angalau sita ambazo zinaweza kuwa na faida kwa aliyemaliza Form Four?

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
3,098
Reaction score
5,451
Wakuu nina vijana wawili wa kike na wa kiume wamemaliza kidato cha nne mwaka huu 2021.

Kama mnavyofahamu kwamba matokeo yao yakitoka January wanatapaswa kujiunga kidato cha tano mwezi July.

Sasa kwa miezi yote hii sita naona kama muda ni mrefu sana kwa wao kukaa nyumbani tu.

Sasa nilitamani wapate course fupi angalau kwa kipindi hicho ili waongeze maarifa.

Naomba ushauri ni course gani ambayo itakuwa na msaada kwao?
 
Wakasome Chuo cha Bandari kuna kozi nyingi nzuri za uendeshaji wa mashine mbalimbali.

Ila ni lazima wawe na leseni ya kuendesha magari ya kawaida.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Ahsante kwa ushauri mkuu. Lkn issue ya leseni ndo tatizo kwa sababu wamemaliza form four mwaka huu so hata hiyo miaka 18 hawajatimiza
 
Aende OSHA pale kinondoni Wana kozi nzuri. OSHA ni taasisi ya serikali inahusika na usalama mahali pa kazi.
Wakuu nina vijana wawili wa kike na wa kiume wamemaliza kidato cha nne mwaka huu 2021.

Kama mnavyofahamu kwamba matokeo yao yakitoka January wanatapaswa kujiunga kidato cha tano mwezi July.

Sasa kwa miezi yote hii sita naona kama muda ni mrefu sana kwa wao kukaa nyumbani tu.

Sasa nilitamani wapate course fupi angalau kwa kipindi hicho ili waongeze maarifa.

Naomba ushauri ni course gani ambayo itakuwa na msaada kwao?
 
Chuma hyo hapo na wewe unataka kujifunza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
excavatorhub-post-2022_01_12_18_57.jpg
 
Back
Top Bottom