Course of project planning and developement

Duuu sijaelewa kitu...!! Hasa kwenye heading..

Nina wasiwasi aseee...
 
ukiona mtu hajui hii kozi ujue dogo hasomi au ndo anatarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu,kwahiyo kama hujui cha kujibu nyamaza tu,big up sana kwa mtoa uzi huu
 
nipe tathmin yake kaka
 
ukiona mtu hajui hii kozi ujue dogo hasomi au ndo anatarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu,kwahiyo kama hujui cha kujibu nyamaza tu,big up sana kwa mtoa uzi huu

METAL unasema hayo coz humfaham huyu dogo,mfatilie vizuri,utagundua kua anacheza na akili za watu...
 
Last edited by a moderator:
inawezekana kabisa kuwa umeshachaguliwa kwenda chuoni kusoma kozi uliyoitaja, kama ni hivyo basi ulitakiwa uombe ushauri kabla ya kuichagua. kuja humu jamvini leo na kuomba ushauri sidhani kama ni sahihi.
ni mtazamo tu, ni mawazo tu
 
METAL unasema hayo coz humfaham huyu dogo,mfatilie vizuri,utagundua kua anacheza na akili za watu...
dogo ww ni first year afu unapenda kujibu vitu ambavyo huvijui eti unacheza na akili za watu,utapotea kijana siyo facebook au twitter hii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom