Toa tathmin kwenye hii kozi ubora na ubaya wake!
ukiona mtu hajui hii kozi ujue dogo hasomi au ndo anatarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu,kwahiyo kama hujui cha kujibu nyamaza tu,big up sana kwa mtoa uzi huu
ukiona mtu hajui hii kozi ujue dogo hasomi au ndo anatarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu,kwahiyo kama hujui cha kujibu nyamaza tu,big up sana kwa mtoa uzi huu
dogo ww ni first year afu unapenda kujibu vitu ambavyo huvijui eti unacheza na akili za watu,utapotea kijana siyo facebook au twitter hiiMETAL unasema hayo coz humfaham huyu dogo,mfatilie vizuri,utagundua kua anacheza na akili za watu...