Faida zipo tu! Kwanza you will safe free HIV unless utake mwenyewe.
Pili ni ajira.
Tatu utasaidia jamii yako.
HASARA.
Zitategemea unasoma kwa lengo gani, unapenda kufanya kazi za social work ama vipi?
Kingine kuwa marketable it will depend na wewe chanel zako au network yako na NGOs maana kazi nyingi zinapatikana huko kuliko serikalini.
Ni hayo tu nijuavyo mimi.
achana na hiyo course just go for social work or sociology you will have a wide range of choice and optiona when it come to kazi, ndani ya hizi course counselling ya hali ya juu inapatikana, HIV utasoma mwenyewe huitaji kufundishwa sana