Kunashkaji wangu alianza kusoma hii kitu, mwaka mmoja tu akatundika daluga akaenda kufanya mishe zingine
Leo anakaa mezani na wasanii wakubwa kupanga mipango anafahamika hadi hukoo nje ya nchi.
Ushauri wangu, wachana na connection, fanya ishu zingine while unangojea hii yako.