Course ya Procurement and Supply Management inahusiana na nini?

Course ya Procurement and Supply Management inahusiana na nini?

Naomba mnisaidie kunielewesha kuhusu hii course, na maeneo gani unaweza kuajiriwa baada ya kuhitimu?
Hapo n manunuz na usambazaji makampun yapo meng ila aslimia kubwa wamejazana ndug kwa ndug kama unahata ndug mweny kampun bx fanya mambo unayoweza kufanya kwa sasa hyo omba Mungu
 
Procurement ni kozi inayohusu manunuzi, kununua bidhaa, huduma na kazi.

Procurement Ni kununua kwa kufuata hatua maalum, ni tofauti na purchasing ya Moja kwa moja dukani.

Ukisoma Procurement utakuwa afisa wa manunuzi ya taasisi, kazi yako ni kutafuta wauzaji, watoa huduma na wakandarasi. Unawatafuta kwa kutangaza tenda.

Ukiwapata ndipo mnafuata taratibu za manunuzi na kusaini mkataba maalum.
 
Back
Top Bottom