Procurement ni kozi inayohusu manunuzi, kununua bidhaa, huduma na kazi.
Procurement Ni kununua kwa kufuata hatua maalum, ni tofauti na purchasing ya Moja kwa moja dukani.
Ukisoma Procurement utakuwa afisa wa manunuzi ya taasisi, kazi yako ni kutafuta wauzaji, watoa huduma na wakandarasi. Unawatafuta kwa kutangaza tenda.
Ukiwapata ndipo mnafuata taratibu za manunuzi na kusaini mkataba maalum.