Uncle dan Member Joined Aug 21, 2011 Posts 8 Reaction score 0 Aug 21, 2011 #1 Wana jamii naomba mnifahamishi juu ya upatikanaji wa kazi endapo utakuwa umesomea BPS/DPS (BACHELOR IN PROCUREMENT AND SUPLLY OR DIPLOMA IN PROCUREMENT AND SUPPLY) kwa hapa TZ na nimashirika yapi ya nahitaji watu kama hawa,naomba ushirikiano wenu.
Wana jamii naomba mnifahamishi juu ya upatikanaji wa kazi endapo utakuwa umesomea BPS/DPS (BACHELOR IN PROCUREMENT AND SUPLLY OR DIPLOMA IN PROCUREMENT AND SUPPLY) kwa hapa TZ na nimashirika yapi ya nahitaji watu kama hawa,naomba ushirikiano wenu.
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Aug 21, 2011 #2 Msoto ni ule ule 2 mkuu,hakuna cha nin wala nin?otherwise uwe kwenye system ya magamba.