Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,177
- 1,406
Tumekua wahanga wa elimu kwa kufata mihemuko ama kwa kutokua na uelewa na mambo yalihusulo taifa, serikali imekua kipofu kwa ktokua na maono ya moja kwa moja kwa vijana wa kitanzania.
Course zitolewazo katika taifa langu na kupewa hadhi ya u special zimekosa impacts za moja kwa moja kwa taifa , na research yangu inanambia viongozi hawana maono kwa kukifanya kilicho special kionekane special mbele za jamii.
Serikali haijui nin inapaswa kufanya ili kufungua milango kwa vijana iliyowapatia fungu la special faculty kule vyuoni au jambo hili hutokea na kuisha kama muujiza?