Heshima kwenu,pia naheshimu mawazo yenu,labda sikueleweka vizuri hapo awali ninachomanisha ni kwamba ili mwanafunzi aweze kuendelea na kidato cha tano ni lazima angalau awe na alama tatu za daraja c,mtu wa namna hii huhesabika kuwa anasifa za kuendelea na masomo ya A level na hatimae kujiunga na elimu ya chuo kikuu,lakini mtu huyu anawza kupata alama D ambazo kwa mjibu wa baraza la mitihani la taifa siyo failure ni pass lakini hawezi kuendelea na masomo ya A level sasa kwa mtu wa namna hii nilihitaji ushauri zaidi.
Binafsi sio kwamba sifahamu hakuna kozi anazoweza kwenda ila nilikuwa nahitaji mawazo yenu pia sasa naona badala ya kunishauri kwa ufanisi zaidi mna ni limit kivingine so pl advice since I have faith in you.
Thanks