Courses za ngazi ya cheti (certificate)

Courses za ngazi ya cheti (certificate)

Extrovert24

Senior Member
Joined
Jun 23, 2022
Posts
144
Reaction score
211
Wakuu habarini za muda huu, poleni na majukumu na ni matumaini yangu kuwa mko vizuri kabisa.

Niende Moja kwa moja kwenye jambo langu, Naomba kuuliza ni course Gani ya certificate ambayo kijana akiisoma kiasi Fulani haitamchukua muda sana kupata kazi? Kijana amesoma Art subjects but alisoma pia na Chemistry.

Naomba kuwasilisha, Nasoma maoni yenu Wana Jamvi
 
Back
Top Bottom