Court dismisses bloggers cybercrime law case

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,310
Reaction score
7,465
Mahakama kuu kenya imepiga chini maombi ya wanaharakati kwamba sheria ya mwaka wa 2017 "cyber crimes act" kuwa kinyume na katiba. Sheria hii inafanya habari zozote mitandaoni kinyume na habari za serikari kuwa kosa la Jinai.
mikenya humu kila kuchao hawaoni kundule😂😂

===============


Court dismisses bloggers' cybercrime law case


The bloggers Association of Kenya moved to court to challenge the Computer Misuse and Cybercrime Act about two years ago. PHOTO | FILE | NATION MEDIA GROUP
In Summary
  • Blow for bloggers' association after judge dismisses case challenging the law's constitutionality.
  • In the case that dragged the State to the corridors of justice, bloggers sued Attorney-General, Speaker of the National Assembly, Inspector-General of Police and Director of Public Prosecutions.

High Court Judge James Makau has dismissed a case filed by the Bloggers Association of Kenya (BAKE) that challenged the constitutionality of the Computer Misuse and Cybercrime Act.

He issued the judgment Thursday morning, saying the petition was unwarranted and had lifted sections which had earlier been suspended by the court.

BAKE had moved to court to challenge the law about two years ago.
The judgment was set to be delivered on January 30 but the matter was postponed to today by Justice Makau.

In the case that dragged the State to the corridors of justice, bloggers sued the Attorney-General, the Speaker of the National Assembly, the Inspector-General of Police and the Director of Public Prosecutions.

The matter spilled over to the corridors of justice when President Uhuru Kenyatta signed the bill into law on May 16, 2018 amid calls to revert it back to Parliament to ensure its provisions are constitutional and do not violate the right to media freedom and expression.

But in May 2018, Justice Enoch Chacha Mwita suspended 22 sections that touched on child pornography and its penalties, publishing of false information, fraudulent use of electronic data, interference with computer systems and data, among others.

In October 2018, Lady Justice Wilfrida Okwany dismissed the government’s request to have the law enforced, saying the temporary order issued earlier by her colleague was justified.
She ruled that the injury complained of has to be balanced with the legal requirement that all laws pass the constitutional validity test.

According to the bloggers, the disputed law infringes on and threatens freedom of expression and the right to privacy, property and a fair hearing.

The disputed new law imposes hefty fines and long prison terms for cyber bullies and fake news dealers.

It also targets journalists, media houses, social media users, bloggers and other Internet users.

The Kenya Union of Journalists and media freedom lobby group Article 19 are listed as interested parties in the case. A Mr Geoffrey Maina also filed a similar suit earlier.
However, the Solicitor-General also filed a suit seeking to have the order set aside or varied.

The government claimed that both public and private Kenyan citizens remain exposed from the failure to adequately protect data belonging to European Union subjects in compliance with the General Data Protection Regulations (GDPR) which was to come into force on May 25, 2018.

Some of the offences prescribed by the disputed law include unauthorised interference to a computer system, programme or data, intercepting of electronic messages or money transfer, fraudulent use of electronic data, intentionally publishing false or fictitious misleading data, publishing information in print, broadcast which causes panic, chaos or violence and the one that relates to child pornography.
 
Kawadanganye mapimbi wenzako, huko huko kwenye vijiwe vyenu vya kahawa na umbea.
 
Nani ana hasira? Mimi nimeketi mkao wa kujionea comedy ya msururu wa mapimbi ambao wataipa like taarifa ambayo hawajaisoma. Tena ambayo haiendani hata kidogo na kichwa cha uzi. Hongereni, nyinyi ndio wale wale. [emoji1]
 
Wajinga nyinyi - by King Kaka (Kennedy Ombima).
Naona Mods wamebadilisha kichwa cha habari na sasa kinaendana na taarifa yenyewe. Ila kwenye taarifa bado kuna zile zile pumba ambazo mleta mada alikuwa ameandika kwenye kichwa cha uzi. Akidai kwamba itakuwa kosa la jinai kuandika habari zozote mitandaoni ambazo zitakuwa ni kinyume na habari au msimamo wa serikali. Kuweni makini na masuala kama haya na muwe na mazoea pia ya kusoma taarifa kwanza kabla ya kurukia na mihemko yenu kwenye comments. Shukran sana Moderator tukiendelea hivi hadhi ya jukwaa hili itarudi kama ilivokuwa hapo awali. Alafu mleta mada acha kuwa desperate, na ukome kabisa. Upotoshaji ovyo wa sampuli kama hiyo ni kama matusi ya kitoto. Sana sana kwenye jukwaa kama hili ambalo lina watu ambao wana akili zao.
 
Wala mimi sina tashwishi hata kama Moderator , Mhariri , @Mod ama Maxence Melo waki badilisha nyuzi zangu, wazifute ama chochote wanachokitaka.
Bora Magufuli yupo nao bumper kwa bumper, weka ndani..Wanahakati uchwara eti wanatetea uhuru wa kujieleza chini ya meza ni ma blogger wa chadema na Zitto😂😂😂
 
Sasa sheria za Kenya zinahusiana vipi na Chadema, Zitto au siasa za Tz? 😕 Nigga you are losing it, acha paranoia. 😀 Ndio athari za kuwa mtu feki na handle zaidi ya kumi hapa Jf. Be original, ibuka na hoja za kueleweka, acha misinformation and take it easy. Its never that serious kwenye mitandao, atleast not in Kenya.
 
Mimi najibu hoja uliyoibua hapa eti unampongeza Moderator Kubadilisha Title ya uzi wangu..Hilo halinisumbui mimi, ni kawaida yao..Dawa yao magufuli..@maxence Melo mwaka jana alifunga JF mwenyewe akitarajia watz wa i miss sana au waamdamane hadi kwa ofisi ya magu...Ali pewa kimya na kila mtu hatimae akaifungua mwenyewe - In short these so called mods are not so important as they want to pretend they are..TZ does not revolve around JF, if you silence people here more are talking in the streets & even more will talk with their ballots 2020
 
Kwahivyo Mods wamebadilisha kichwa cha uzi wako kwasababu wao ni Chadema na wewe ni wa CCM? Mada hii kwenye uzi wako si ni kuhusu Kenya? Alafu kichwa cha mada si kilikuwa cha kupotosha kwasababu hakikuwa kinaendana na taarifa? Ulikuwa umeandika, ni rasmi kwamba itakuwa kosa la jinai kuandika habari mitandaoni ambazo haziendani na habari kutoka kwa GOK. Taarifa inasema hilo au la? Alafu kando na taarifa kwenye uzi huu, madai yako ni ya kweli au ni porojo tupu?
 
1.Mimi niliweka Uzi ukiwa na lebo "Tetesi" kumaanisha ni mawazo ya kwangu kuhusu taarifa niliyo bandika hapo chini kufuatia msingi wa "uhuru wa kujieleza" Moderator Mhariri Maxence Melo Wakang'oa lebo, wakabadilisha Title bahati tu hawakufuta uzi kabisa. Sasa labda wanafikiria ninasumbuka akili sana eti wamebana/ batilisha mawazo ya kwangu😂😂

2. Kama ni habari kwako eti JF na Maxence Melo ni vibaraka wa upinzani basi shikamoo kumekucha.

3.Misingi ya "uhuru wa kujieleza" wanayo jifanya kutetea ni uchwara tupu. Na hawana ushawishi wanao jitwika migongoni

4. Kama unapingamizi ya Title niliyo weka awali, leta hoja, tuonyeshe sheria inayo pinga hayo..Sio kushabikia uchwara wa mods
 
Hebu tuelewane, 'tetesi' zako kuhusu sheria za Kenya, ambazo hazikuwa na ushahidi wala 'source' ya kueleweka(kulingana na sheria za Jf). Ulizileta kwenye jukwaa hili la habari za Kenya ili kuwakomoa wapinzani wa Tz? It makes no sense at all. Alafu sina pingamizi lolote na uzi wako kama ulivyo sasa hivi. 😀
 
1. Mimi sijawai ona sheria yeyote JF kuhusu "Tetesi" eti unafaa utoe source..Hiyo sio news ni "opinion" na source ni kichwa changu kwa misingi ya uhuru wa kujieleza. Hata kwa kuwasaidia nikabandika makala niliyo ya lenga kwa opinion ya kwangu

2. Ukisoma kielezo changu hapo juu..Tetesi yangu ni kwamba Mipinzani Tz kila kuchao wakiungana na mikenya humu wana sema kenya haina sheria za kudhibiti Taarifa eti media freedom ipo juu kumbe hawaoni kundule

3. This will be my last comment on this, I dont want to dwell on losers (Mods Moderator Mhariri Maxence Melo ) and give them any milage & relavance so that they assume they have some imaginary power. - They are actually inconsequential
 
Acha tuyaachie hapo, ila kuna vitu ambavyo ningependa uelewe. UCCM na uChadema ni vitu ambavyo wakenya wengi hawavielewi na hawana muda navyo. Kuna majukwaa ya umbea, ambayo unaweza ukapost chochote utakacho kutoka kwa 'kichwa chako'. Unavowaponda na kuwatusi na kulialia kuhusu waanzilishi wa Jf na Mods mtu anaweza akadhani kwamba umefungwa minyororo shingoni na ukashurutishwa kuwa hapa.
 
1.Niko platform Zote, twitter / FB / JF etc..Na kote kote mimi hutua hoja kichwani changu maana mimi sio kondoo nipangiwe cha kufikiria ama kujieleza, hata JPM hawezi nipangia akili zangu. Wacha Moderator na Maxence Melo wapate kazi ya zianda kufuatilia na kubatilisha michango yangu wawache Kūng'ethia ofisini

2. kukosa kujua chadema au ccm ni ignorance especially kama umejiunga na JF(Tovuti ya kisiasa Tanzania)..Huo ni ushamba
 
Sawa jombaa, nimekuelewa. Usilie basi, maisha sio fair ila kawaida ya mwanaume ni kwamba lazima 'ukae ngumu'. [emoji1] Loosen up, enjoy life maisha ni mafupi.
 
Sawa jombaa, nimekuelewa. Usilie basi, maisha sio fair ila kawaida ya mwanaume ni kwamba lazima 'ukae ngumu'. [emoji1] Loosen up, enjoy life maisha ni mafupi.
Uliona mimi niki complain ama nikifungua uzi kusema wamenikosea? unadhani ni mara ya kwanza? I dont engage with losers..
Kumbe nyuzi zangu zinawazingua mara nikiposti wameweka system alert kengele zinalia ofisi nzima..hao mbio kufuatilia nilicho bandika 😂😂😂
Aisee
 
Jamaa kasema eti hata magufuli hampangii cha kuandika mitandaoni..
Jaribu uone km hawakukuteka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tena wewe ulivyo naona wasiojulikana wakikulawiti..
Hzo ni mbwembwe za mitandaoni tu, jaribu kuandika vitu ambavyo jiwe havipendi halafu usubirie marejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…