huu sasa mwisho wa dunia..........................hivi ukimkubalia na mkajaliwa kupata watoto wakike akiwapenda basi hicho ni kigezo cha kuanza kutembea nao? kama hana mipaka kwa kisingizio cha kuwa mipaka imeyeyushwa na pendo lake kwako..................basi uelewe ni wewe umpe mipaka yako kuwa......................there is no love in sinning against the Almighty God......................aliyekataza incest.........Mm ni msichana nina 24 yrs,last wk ndo nimekutana na cousin wangu for the 1st tym, before hatukujuana kabisa. Basi tulipojuana 2kafurah sn tukapiga story sn 2kagundua interest zinaendana sana, kumbe mwenzangu kanipenda tena mpaka analia yupo radhi asiende kazn ila aje 2pige storry nimemwambia ninampnz lakin hanielewi,pia nimemwambia sisi ni ndugu haelewi anadai ninasifa zote anazozitaka, na ananipenda kweli kuliko myboy, Sijui hata nifanyeje kunusuru undugu wetu.
wewe ulikuja jana ukasema una mpz wako wa miezi 9, hajawah kukwambia anakupenda. Huna kazi hataki kukuajiri kwenye Ngo yake, kakukataza kuvaa suruwali, anataka ubadili dini, hawez kukuoa, leo binamu anakutaka.
HUNA MSIMAMO WEWE WA MAISHA YA KIMAPENZI, MMEJUANA WIKI 1 TU NA BINAMU YAKO UMEJUAJE KAMA ANAKUPENDA KULIKO BOY WAKO?