Cousin wangu ananipenda

kuna binamu na binamu, hajafafanua uhusiano wao halisia.
 
nimesikia kuna baadhi ya 'culture' ukioa mke ambae aliwahi kuwa
na a thing with binamu yake....hai ishi....mkigombana tu
akirudi home anamtafuta 'cousin'....lol
ukisafiri tu 'cousin ' anatembelea home lol

Hapo lazima ukome kuringa! hahaha
 
kwani binamu katangaza ndoa au kasema anakupenda tu?
labda anataka kuanzisha ligi kila msimu mnaanza upya ila hakuna
kushuka daraja lol
 
...Be specific please! 🙂🙂 labda unaweza kumsaidia huyu mdada 🙂🙂

BAK

Waswahili wanasema ukikaa na muuza uturi utanukia uzuri na ukikaa na muuza mkaa......

Hala hala na Boss.

😛
 
Usilazimishe kwamba ufanyeje. huyo ni ndugu yako na huhitaji kutune akili yako ya kuwa awe mpenzi wako
 
That is INCEST CRIME! Mnaweza kushitakiwa na jamhuri! Lakini pia inatufanya tuingiwe shaka juu ya mwenendo na tabia zako kwa ujumla.Au wewe ni penda penda? Acha tamaa dada
 
Hivi cousin kiswahili chake nini?Ah potelea mbali,inaonekana undugu ni kikwazo kuliko mpenzi wako,hilo nalo timbwili lingine!Sina jibu lake!
 

duh, nimefarijika hapo kwenye red, naamini ni story za mdomoni!
mi naamini huyo kijana mwenzako a.k.a causin anakutamani zaidi kuliko kukupenda! lakini kwa kuwa bado ni mshamba (kwa kuwa anapenda eti hadi analia) na kwa kuwa anaakili za kipumbavu (anataka kuacha kazi kwa ajili ya kupiga 'story' na binamu wewe ambaye ni jobless) basi mie sikushauri kabisa uwe nae kirafiki, wala kimapenzi. Ila kuhusu ubinamu, hilo si tatizo huyo undugu uko mbali, koo zenu ni tofauti ndugu ni baba na mama zenu na sio nyie angekuwa anaeleweka unakulana tu kiulainiii!
 
Guys seems mnanihukumu mimi yes i feel him like my bro cna hisia za kimapenzi kwako nilivyosema he love me rather than my boy means he care alot rather thn my boy,kwanza sifurahii kabsa kwanza namuona kama kanikosea heshima na dharau
 
Hivi cousin kiswahili chake nini?Ah potelea mbali,inaonekana undugu ni kikwazo kuliko mpenzi wako,hilo nalo timbwili lingine!Sina jibu lake!
mmmh jamani sitaki kuamini kuwa mtu anejua timbili timwili la asha ngedere anashindwaje kujua kiswahili cha cousin!! au lugha ya mjomba haipandi kabisa??? 'nwy ni mtoto wa mjomba au shangazi yako
 
huyo ni shetwain mkemeee ashindwe,pia kuwa mwaminifu kwa bf wako
 

Sisi kwetu tunaruhusiwa kufunga ndoa na binamu,ingekuwa powa maana undugu ndio unaboreshwa zaidi na mapenzi ya mume na mke,BINAMU KINYAMA CHA HAMUUUUUUUUUUUU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…