brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
kweli hiyo , source muungwanaKweli hii au uongo
Mchezaji huru anasajiliwa wkt wwtDirisha si limefungwa?
Hilo swali hata mimi linaniumiza kichwaAliachwaje mchezaji mtamu km huyu?
Kwa kuwa waliopewa dhamana lengo lao si soka. Mpenda soka yeyote hawezi kuiachia lulu hii hata kidogo tena ni mfano kwa wachezaji wengine kumuiga.Aliachwaje mchezaji mtamu km huyu?
leo alikuwepo taifaKweli hii au uongo
Nilitaraji Azam wamdake lakini nikagundua hakuwa timu ya Simba kama Amri Kiemba n.k.. Ni Kavumbagu tu alikuwa na bahati.leo alikuwepo taifa