Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Mzee Mwanakijiji uandishi wa Tanzania ni kwa ajili tu ya kuhamasisha wananchi
kusoma vitabu, ila huwez fanikiwa ki fedha kwa njia ya uandishi na uchapishaji wa vitabu.
40%??? Kha!!
I have come to the same conclusion; I intend to change the status quo!
mh, sasa kama mtindo ndio huo lini watanzania watafunguka akili? I mean we need to read, and some people are just playing around with profit margins
Na Ndio maana hata waandika vitabu wamekatatamaa ya kuandika vitabu, gharama kubwa na fedha zote anachukua muuzaji na si mtunzi. Taifa la wajinga Litaangamia kwa Kukosa Maarifa