Aslan127 Member Joined Apr 6, 2020 Posts 76 Reaction score 170 Jul 30, 2020 Thread starter #21 future lawyer said: Lete uthibitisho Kama imeingia maji Click to expand... Simu ipo vizuri kabisaa na ndo nayoitumia hapa sasa hivi. Na niliiweka kwenye sufuria lenye maji kama inavoonekana hapo kwenye picha.
future lawyer said: Lete uthibitisho Kama imeingia maji Click to expand... Simu ipo vizuri kabisaa na ndo nayoitumia hapa sasa hivi. Na niliiweka kwenye sufuria lenye maji kama inavoonekana hapo kwenye picha.
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Jul 30, 2020 #22 Aslan127 said: Ok sawa, nitafanya hivo kesho then ntatuma humu mrejesho Click to expand... Weka leo hii hii tuone
Aslan127 said: Ok sawa, nitafanya hivo kesho then ntatuma humu mrejesho Click to expand... Weka leo hii hii tuone
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Jul 30, 2020 #23 future lawyer said: Lete uthibitisho Kama imeingia maji Click to expand... Kaandika "kwa picha hii simu ishaingia maji" kwahiyo ushahidi ni hiyo picha
future lawyer said: Lete uthibitisho Kama imeingia maji Click to expand... Kaandika "kwa picha hii simu ishaingia maji" kwahiyo ushahidi ni hiyo picha
future lawyer JF-Expert Member Joined Jan 28, 2020 Posts 419 Reaction score 423 Jul 30, 2020 #24 Aslan127 said: Simu ipo vizuri kabisaa na ndo nayoitumia hapa sasa hivi. Na niliiweka kwenye sufuria lenye maji kama inavoonekana hapo kwenye picha. Click to expand... nguvu said: Kaandika "kwa picha hii simu ishaingia maji" kwahiyo ushahidi ni hiyo picha Click to expand... Umejibiwa huko
Aslan127 said: Simu ipo vizuri kabisaa na ndo nayoitumia hapa sasa hivi. Na niliiweka kwenye sufuria lenye maji kama inavoonekana hapo kwenye picha. Click to expand... nguvu said: Kaandika "kwa picha hii simu ishaingia maji" kwahiyo ushahidi ni hiyo picha Click to expand... Umejibiwa huko