Wana jf habarini za kazi, ninaomba msaada wenu, kuna advert ya kazi nimeisoma, hao wenye kazi ni NGO wanatafuta mhasibu ila pamoja na application letter, cv, vyeti wanataka COVERING LETTER ueleze kwa nini unadhani wewe unafit katika nafasi hiyo?
Naombeni msaada wa kuandika covering letter what content should be mentioned.
ni barua ya kawaida ila utaonyesha strength ulizonazo tofauti na vyeti ili wakuconside katika hiyo post.Mojawapo ni experience,accomplishments na uwezo wa kutumia accounting packages katika kazi za uhasibu.
Hiyo ni format ya cover letter kwa kazi yoyote unayoapply sidhani kama kuna mtu anayeandika tofauti.Kuonyesha wewe unafit kwa hiyo kazi inamaana uonyeshe strength zako wazijue na hizo ndizo zitakutofautisha na wengine na strength zenyewe ni kwa kazi uliyoomba.Nakuomba uzingatie niliyokueleza mwanzo kwani hao jamaa hawako interested na format ya barua na vyeti vyako bali uwezo wako.
ina tofauti coz application letter hutaandika mambo mengi kuhusu wewe, so inaweza hata kuwa mistari 10..ila cover letter utaonyesha mambo mengi....kwanini unatamani kufanya kazi na hiyo kampuni....unaielewaje hiyo kampuni.....elimu yako itanufaishaje kampuni.....kwani nini wakuchague wewe na sio wengine......nk (haya mambo huwezi kuweka kwenye application letter)