Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,156
Bara la Afrika tumepigwa tena na mabepari! Viumbe wenye mbinu na mbwembwe nyingi. Viumbe wasioogopa kupoteza wa kwao wanapokuwa na Jambo lao serious
Walipoitambulisha walianza marumbano wao kwa wao
China na Marekani wakatukanana hadharani na kutunishiana misuli
Kila mmoja alimtuhumu mwenzake kufanya ujinga. Lakini leo mataifa tajiri duniani G7 wamekaa meza moja ya mduara na wamegonga cheers "kusherehekea" mafanikio
Ukipenda nikasirikie au tukana tu (chalamila style) nikisema wao wanasherehekea mafanikio halafu nami nitakuuliza Kama sio kusherehekea mwanzo kilichowafanya wavimbishiane ni nini?
Kilichowafanya wagombanie chanjo zao zisajiliwa na kuidhinishwa ni nini?
Tukatae tukubali hii ni biashara na soko li tayari kununua bidhaa za Covid-19
Wakikaa G7 wakakubaliana jambo nani wa kupinga?
Biashara nyingi mpya huanza na promotion na wafanyabiashara smart wanajua promotion wanayofanya watafidia vipi
Watu wao wameshachanjwa na chanjo ya Covid-19, nani mwingine atakataa?
Utawezaje kusema zina madhara wakati mzungu chanjo hiyo hiyo kashashindiliwa mwilini na hakufa? Wewe ni nani ikudhuru? Huu ndo uzuri wa mfanyabiashara smart, lazima asome mentality ya wateja wake
G7 wanatuletea chanjo za msaada, wao wanafahamu msaada huo kwa population tuliyonayo ni sawa na tone la maji Baharini lazima tutaingia king tu! Kama nyie ni wajanja tengeneza chanjo yenu tuone Kama WHO wataidhinisha
Mfanyabiashara smart na mwenye nguvu hashindwi jambo bana!
Utapanda ndege ya nani Kama hujachanjwa? Utaenda kwa nani Kama hujachanjwa? Nani atakuja kwako Kama hujachanjwa? Utaomba mkopo/msaada kwa nani Kama umezuia chanjo za dunia? Utamlilia nani Kama umezuia watu wako wasichanjwe? Nani atakukimbilia kuzika watu wako Kama hujawachanja?? Maana ni rahisi kusema vifo vimesababishwa na Covid-19. Utakataaje wakati hujawachanja watu wako!
Tajiri lazima akupe masharti bwana!
Asikwambie mtu bana hakuna biashara yenye uhakika Kama biashara yenye uhusiano na afya ya mwanadamu. Utake usitake utaingia King tu!
Kwa tulipofika hata mwendazake angeufyata tu! Kama mnabisha kasomeni ushuhuda wa Mzee Rhuksa kwenye kitabu chake wa kisa Cha Nyerere alipojaribu kuhoji masharti ya WB na IMF