4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Mazoezi hufanya kuactivate kinga za mwili mkuukuna mechanisim gani isababishayo korona isikusumbue ukiwa unafanya mazoez hasa ya kukimbia?
Mazoezi hufanya kuactivate kinga za mwili mkuukuna mechanisim gani isababishayo korona isikusumbue ukiwa unafanya mazoez hasa ya kukimbia?
Mkuu usilale mazoezi KWa umoja ni mazuri sanaMimi kutokana na shughuli zangu kwa siku natembea wastani wa kilometa 9, jumamosi acha nilale🤣
Mkuu natembea si chini ya kilometa 45 kwa wiki bado kubeba mizigo mizito halafu jumamosi nikimbie tena 🏃♂️🏃♂️🏃♂️Mazoezi hufanya kuactivate kinga za mwili mkuu
Mkuu usilale mazoezi KWa umoja ni mazuri sana
Sio kweli mkuu ,Mbona watu tofauti tunakutana sokoni kila sikuKutokana na harakati za maisha ya kila siku bila shaka watu wanatembea zaidi ya km1 kila siku.
Hivyo hiyo ya kutembea km1 kila jumamosi itakuwa njia nzuri ya kusambaza ugonjwa ukichangia mtakuwa mkitembea pamoja kwa karibu which is highly unsafe.
Corona ya sasa hivi ni kama kipindupindu.Kuna kuharisha na kutapika,sina uhakika kama mazoezi yatafua dafu tena!
View attachment 1875272
Wale wa kwenye mashangingi na viyoyozi watembea saa ngapiKutokana na harakati za maisha ya kila siku bila shaka watu wanatembea zaidi ya km1 kila siku.
Hivyo hiyo ya kutembea km1 kila jumamosi itakuwa njia nzuri ya kusambaza ugonjwa ukichangia mtakuwa mkitembea pamoja kwa karibu which is highly unsafe.
Dalili huonekana siku ngapi tangu mtu a contaminate na wadudu?Corona ya sasa hivi ni kama kipindupindu.Kuna kuharisha na kutapika,sina uhakika kama mazoezi yatafua dafu tena!
View attachment 1875272
Mkuu nimecheka Sana neno kwichikwichi, tafadhali naomba tushiriki mazoeziAC utumie wewe, gari uendeshe wewe kutwa kucha, misosi uzidishe kula wewe, sukari uzidishe kula wewe, kwichikwichi uzidishe wewe alafu mazoezi ndio tufanye wore. Kila mtu ashike hamsini zake bhanaaaaa. Wengine tunashinda shambani kusukuma jembe.
Jmosi Mkuu, ila pia hao wanazopesa za kulipa gym,ili zoezi lituusu sie makapukuWale wa kwenye mashangingi na viyoyozi watembea saa ngapi
Mimi ninayeendesha baiskeli saa 1 kila siku haya yatanihusu kweli?Mazoezi pia ni fursa nzuri ya kujikinga na Corona,
Kwa umoja wetu kuanzia MTAA Tanzania nzima tuhamashishane Sasa kufanya mazoezi ya kutembea angalau km1- 3 kila jmosi ya wiki, itapendeza Sana tukianza jmosi ya week ijayo.
Mazoezi ya kutembea ni mepesi mno hata mzee anaweza kufanya.
Kwa nafasi zetu tuelimishe watu kwenye mitaa yetu nyumba kwa nyumba ili watu washiriki mazoezi ya kutembea, lazima tubambane na corona KWa NJIA zote.
Niwaombe Watanzania kupokea ushauri huu kwa mikono miwili
Shukrani.
Wewe mkuu waonje , MAZOEZI ya umoja ni matam Sana mkuuMimi ninayeendesha baiskeli saa 1 kila siku haya yatanihusu kweli?