Covid 19: Kenya mnazidi kupaa kwenye Worldmeter, hongereni

Covid 19: Kenya mnazidi kupaa kwenye Worldmeter, hongereni

gango2

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2011
Posts
1,956
Reaction score
2,274
Haya bana, Wakenya hongereni sana! Kwenye WORLDMETERS mnazidi kupaa tu, now mmefika nafasi ya 90. Mkiingia 10 bora mtuambie basi.

View attachment 1468422

Sisi wenzenu Dar es Salaam tumebakiza wagonjwa 4 tu! tena wana afya nzuri!

PIGENI NYUNGU nyungu nyie, acheni kushangaa, korona itawatesa, wenzenu huku Bongo tumeshamaliza NYUNGU SEASON2!
 
Tulipokuwa tunavhukuwa hatua kupambana na Corona, walikuwa wakitucheka,sasa wanakinyewea *****!
 
Laiti ungeulewa ujumbe wa huyo jamaa hahaa. Kenya wako wazi, visa vya korona vinaripotiwa na hakuna uficho. Sisi hatuna korona ila matukio ya wanaokufa kwa korona ni mengi. Kwa hakika hawa jamaa wa "man eat man society" tumewaacha mbali sana.

Hamna kitu hapo,tatizo sio usiri au uwazi,kinachofanyika huko Kenya ni kupima,na kutangaza,hakuna hatua inayochukuliwa kumaliza maambukizi,kuua wananchi wasiokuwa na hatia kwa kisingizio cha kusimamia curfew, Kenya ina mipango ya hovyo sana.mpaka sasa polisi imeua watu 15,jumlisha 54 wa Corona inaomesha upuuzi unaofanyika huko kwenu.
 
Wanavifaa vya kupima.. Umeshawahi kusikia TZ mpaka sasa tumepima watu wangapi kwa ujumla?
 
Laiti ungeulewa ujumbe wa huyo jamaa hahaa. Kenya wako wazi, visa vya korona vinaripotiwa na hakuna uficho. Sisi hatuna korona ila matukio ya wanaokufa kwa korona ni mengi. Kwa hakika hawa jamaa wa "man eat man society" tumewaacha mbali sana.
bila shaka umeandika ukiwa unakata roho mkuu.

naona siku hizi hata BP haiui tena kila kifo ni corona tu.
 
Haya bana, Wakenya hongereni sana! Kwenye WORLDMETERS mnazidi kupaa tu, now mmefika nafasi ya 90. Mkiingia 10 bora mtuambie basi.

View attachment 1468422

Sisi wenzenu Dar es Salaam tumebakiza wagonjwa 4 tu! tena wana afya nzuri!

PIGENI NYUNGU nyungu nyie, acheni kushangaa, korona itawatesa, wenzenu huku Bongo tumeshamaliza NYUNGU SEASON2!
Sisi nasikia tumevunja record ya dunia mpaka sasa ya kuwa na idadi kubwa ya WALIOKUFA kuliko WANAOUGUA. Hakuna nchi nyingine yenye record hii mpaka sasa. ndio maana hushangai kuona kila mtanzania anayetoka kwenda nje ya nchi (i.e ; Kenya,Zambia, Namibia e.t.c) akipimwa tu anakutwa nayo Covid japo anaweza kuwa amepima hapa katika vile vipimo vyetu vya mapapai na kuonekana hana Corona
 
Dah...

"Those people of East Africa shock me with their wizardry in stealing. Sometimes I tend to believe that stealing is in every Kenyan’s blood. These people go to their schools and read good courses but they qualify as the best thieves. You can even think that there is a subject in their universities called Bachelor of Stealing. Whenever they get an opportunity as employees, they never disappoint. They steal enough money to buy their freedom because even the judges who listen to their cases are financially powerless. I urge you my people to be on high alert in case you by bad luck, happen to visit that East African nation. They might infect you with that disease and we don’t want it here. Zimbabweans are honest people who love their country and don’t want such stealing tendencies ” - Robert Mugabe
[emoji41]
 
Ukishapimwa nini kunifuata?
Wako wapi walioandika sana humu kwamba madereva wa Tanzania ndio wanaoeneza corona Kenya. Mbona kama wamepotea jukwaani. Hao madereva wanakuwa na corona wakiwa Kenya tu, wakirudi Tanzania corona inabaki Kenya.

Wakenya wananpaswa kuiomba radhi Tanzania kwa kuitamkia mabaya juu ya corona. Kenya wakajipendekeza kwa Marekani wakitangaza taarifa za corona kila siku, na kusema Tanzania inaficha taarifa hizo kwa kuwa hali ni mbaya zaidi ya Kenya. Kenya wanajua sana kupakazia na ndiyo tofauti kati yake na Tanzania. Kenya wanaongea sana.

Tazama sasa Mungu anavyomwumbua mnafiki. Wakati Tanzania kila kitu kinaendelea kama kawaida hadi kufunguliwa kwa shule ngazi zote, wao shule zitafunguliwa mwakani. Yaani wanahirisha masomo kwa takribani mwaka mmoja.

Swali hapa ni hivi: Wakenya na Watanzania, wapi walikuwa wanaeneza corona kwa wenzao?

Unafiki wenu Wakenya hautowafikisha popote. Ishini kwa upendo na majirani zenu.

POLENI SANA KWA CORONA, MUNGU ATAWAAFU.
 
Back
Top Bottom