Tulipokuwa tunavhukuwa hatua kupambana na Corona, walikuwa wakitucheka,sasa wanakinyewea *****!
Hamna kitu hapo,tatizo sio usiri au uwazi,kinachofanyika huko Kenya ni kupima,na kutangaza,hakuna hatua inayochukuliwa kumaliza maambukizi,kuua wananchi wasiokuwa na hatia kwa kisingizio cha kusimamia curfew, Kenya ina mipango ya hovyo sana.mpaka sasa polisi imeua watu 15,jumlisha 54 wa Corona inaomesha upuuzi unaofanyika huko kwenu.Laiti ungeulewa ujumbe wa huyo jamaa hahaa. Kenya wako wazi, visa vya korona vinaripotiwa na hakuna uficho. Sisi hatuna korona ila matukio ya wanaokufa kwa korona ni mengi. Kwa hakika hawa jamaa wa "man eat man society" tumewaacha mbali sana.
bila shaka umeandika ukiwa unakata roho mkuu.Laiti ungeulewa ujumbe wa huyo jamaa hahaa. Kenya wako wazi, visa vya korona vinaripotiwa na hakuna uficho. Sisi hatuna korona ila matukio ya wanaokufa kwa korona ni mengi. Kwa hakika hawa jamaa wa "man eat man society" tumewaacha mbali sana.
hatujawahi kupima hata siku moja.Wanavifaa vya kupima.. Umeshawahi kusikia TZ mpaka sasa tumepima watu wangapi kwa ujumla?
Sisi nasikia tumevunja record ya dunia mpaka sasa ya kuwa na idadi kubwa ya WALIOKUFA kuliko WANAOUGUA. Hakuna nchi nyingine yenye record hii mpaka sasa. ndio maana hushangai kuona kila mtanzania anayetoka kwenda nje ya nchi (i.e ; Kenya,Zambia, Namibia e.t.c) akipimwa tu anakutwa nayo Covid japo anaweza kuwa amepima hapa katika vile vipimo vyetu vya mapapai na kuonekana hana CoronaHaya bana, Wakenya hongereni sana! Kwenye WORLDMETERS mnazidi kupaa tu, now mmefika nafasi ya 90. Mkiingia 10 bora mtuambie basi.
View attachment 1468422
Sisi wenzenu Dar es Salaam tumebakiza wagonjwa 4 tu! tena wana afya nzuri!
PIGENI NYUNGU nyungu nyie, acheni kushangaa, korona itawatesa, wenzenu huku Bongo tumeshamaliza NYUNGU SEASON2!
Ukishapimwa nini kunifuata?Wanavifaa vya kupima.. Umeshawahi kusikia TZ mpaka sasa tumepima watu wangapi kwa ujumla?
Wako wapi walioandika sana humu kwamba madereva wa Tanzania ndio wanaoeneza corona Kenya. Mbona kama wamepotea jukwaani. Hao madereva wanakuwa na corona wakiwa Kenya tu, wakirudi Tanzania corona inabaki Kenya.Ukishapimwa nini kunifuata?