game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Kenya imeweka vikwazo kwa wasafiri toka nchi kadhaa za afrika huku ikiruka Tanzania,
Ikumbukwe Tanzania haijawahi jihangaisha sana na Huu ugonjwa japo matokeo ya maambukizi na Vifo kati ya Tanzania na kenya Hayana Tofauti,
My take: Enyi wakenya wapumbavu, ni nani aliyewaloga ?
Endeleeni na Maisha, ugonjwa huu hauishi Léo wala kesho.