mi nadhani tujikite kwenye kutatua matatizo yanayotuhusu tuache huu utoto kwa kila saa Kenya this,Kenya that....
Nadhani sababu kubwa ya Kenya kuisaza Tanzania inatokana na nia yake Suluhu ya kufanya mambo tofauti. Kama lingekuwa lile zimwi bila shaka shoka lingeangukia Tanzania..Kenya imeweka vikwazo kwa wasafiri toka nchi kadhaa za afrika huku ikiruka Tanzania,
Ikumbukwe Tanzania haijawahi jihangaisha sana na Huu ugonjwa japo matokeo ya maambukizi na Vifo kati ya Tanzania na kenya Hayana Tofauti,
View attachment 2060535
My take: Enyi wakenya wapumbavu, ni nani aliyewaloga ?
Endeleeni na Maisha, ugonjwa huu hauishi Léo wala kesho.
nimeshakua mkenya tayari?
do you know my nationality mzee?
au umegeuka mganga wa kienyeji?
unaichukia kenya sana,sijui walikufanya nini ndugu yangu?
usiwe personal namna hii,ni useless na wastage ya chuki kuchukia nchi nzima
Nadhani sababu kubwa ya Kenya kuisaza Tanzania inatokana na nia yake Suluhu ya kufanya mambo tofauti. Kama lingekuwa lile zimwi bila shaka shoka lingeangukia Tanzania..
Anataka kuavenge zile push and pull za 70's between the two nations[emoji1787][emoji1787]Una shida mkuu
Wamekufanya nini hasa?
Maana bado sijaelewa hii hasira yote inatoka wapi hasa
What has been between Kenya and Tanzania is nothing but sibling rivalry and not What you are trying to insinuate. It's only that some mad person from out of the blues decided to take it to the extremes.U and I know better that tension between kenya and Tz hazikuanza jana wala juzi, it dates back na kumekuwa na vuta nkuvute kwa awamu zote,
Besides: It won’t take long untill Kenya will come up with selfish moves, mark these words.
Nyerere is the one who took it to the extreme by closing the border and prepare troops ready for war.What has been between Kenya and Tanzania is nothing but sibling rivalry and not What you are trying to insinuate. It's only that some mad person from out of the blues decided to take it to the extremes.
I don't think your childish opinions matter, your hate is irrelevant and has no impact on Kenya's ties to/with Tanzania.Kenya imeweka vikwazo kwa wasafiri toka nchi kadhaa za afrika huku ikiruka Tanzania,
Ikumbukwe Tanzania haijawahi jihangaisha sana na Huu ugonjwa japo matokeo ya maambukizi na Vifo kati ya Tanzania na kenya Hayana Tofauti,
View attachment 2060535
My take: Enyi wakenya wapumbavu, ni nani aliyewaloga ?
Endeleeni na Maisha, ugonjwa huu hauishi Léo wala kesho.
You're a very smart man.mi nadhani tujikite kwenye kutatua matatizo yanayotuhusu tuache huu utoto kwa kila saa Kenya this,Kenya that....
How come he didn't fight the war?🤣🤣Nyerere is the one who took it to the extreme by closing the border and prepare troops ready for war.