Covid -19 ni junction katika matukio yafuatayo

Covid -19 ni junction katika matukio yafuatayo

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Katika history huwa kuna matukio ambayo yana define era. Mfano hilter alipochaguliwa, first atomic bomb, ect.

Sasa mambo yameiva zile silaha zilizokuwa zinatengenezwa kwa maficho hakika huu ni muda muafaka wa kutumika. Enyi ndugu zangu napaza sauti yangu mpaka mwisho kaeni chonjo, ngoma imewamba.

Covid -19 ni junction katika matukio yafuatayo

Vita kuu ya tatu ya dunia. America atanza kustrike china pale tuu mambo yatakapoanza kutengamaa kwake, atatumia silaha zake ambazo hajawahi tumia. In short nato watajoin kuiadhibu china kwani kutakuwepo evidence ikisuport kwamba ni makusudi virus alitengenezwa kuwaambukiza wao.

Pia Covid -19 ni inamulika viongozi wote wabovu wa era hii.

Kume kuwa na wingi la viongozi wengi duniani wanaopenda self promotion ukianza kwa trump, na jamii kama yake. Hawa viongozi wanapenda kila kizuri kiwe ni wao wamehusika sasa hii virus haijali jinsi gani kiongozi anataka aonekane it just contaminate.

Pia napenda kufunga kifundo kwa kusema. Hii virus in term of philosophy it show how absurd our reality are against mother nature.
 
Back
Top Bottom