#COVID19 Covid-19: Ni muhimu sana kuwa informed kabla ya kukubali

#COVID19 Covid-19: Ni muhimu sana kuwa informed kabla ya kukubali

Teleskopu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2017
Posts
702
Reaction score
767
Dr Yeadon, aliyewahi kuwa Makamu Rais wa Pfizer, moja ya makampuni yaliyotoa chanjo ya Korona, anasema:

“I have absolutely no doubt that we are in the presence of evil (not a determination I’ve ever made before in a 40-year research career) and dangerous products,” Dr. Yeadon bravely revealed in the public interview.

Yaani, “Sina shaka kabisa kwamba tumo kwenye uwepo wa uovu (jambo ambalo sikuwahi kulisema kabla katika miaka yangu 40 ya utafiti) na bidhaa za hatari,” Dk Yeadon aliweka wazi kwa ujasiri wakati wa mahojiano ya wazi.

SWALI KUU

Mtu anapoibuka leo na kusema chanjo haina madhara wakati NDIO KWANZA inafanyiwa majaribio, tena kwa binadamu, kwa nini lakini?
Tuko kwenye kipindi sensitive sana. Kuna kitu wanachokiita The Great Reset. Yapo mambo yanayoendelea duniani. Malengo yake si mema.

Soma zaidi hapa: Former Pfizer VP says experimental Covid-19 vaccines could be “used for massive-scale depopulation”
 
Back
Top Bottom