jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Kwa ufupi napenda kutoa tips ya jinsi Tanzania katika hali ya umasikini wake kifedha ilivyoweza kujiandaa na Janga hili la COVID 19.
Hapa natumia uzoefu wangu wa kusaka taarifa mbalimbali na kuzianalyse
1-Tanzania inao wataalamu wanaojihusisha na walioelimishwa kuhusiana na udhibiti wa magonjwa ya milipuko pamoja na majanga. wataalamu hawa wamekuwa active sana miaka hii ya karibuni naweza kusema miaka kama 8 iliyopita. wataalamu hawa ndio wanewezesha kuwepo kwa kitengo cha Emergency Medicine pale Muhimbili.
2-Kuna kitengo cha kukabiliana na maafa/majanga kilichohuishwa kikishirikisha sekta mbalimbali.
3-Ipo miongozo iliyo tayari na imeshajaribiwa iwapo inafanya kazi katika scenario kadhaa...hii ni toka kipindi cha janga la kuanguka kwa ghorofa Dar, kipindupindu, tishio la ebola, ajali ya moto morogoro n.k
4-Maandalizi ya kukabiliana na majanga ili yasilete madhara makubwa yalikua yanaendelea na kufanyiwa majaribio(mitigations).
5-Zipo timu mbalimbali zilizopata mafunzo na kuwekwa katika utayari iwapo janga litatokea.zinaitwa Rapid Responce Teams...za mikoa na baadhi ya halmashauri.
6-Ipo timu ya iratibu ngazi ya wizara ya afya ambayo imekuwa ikifanya kazi kufa na kupona ingawa haijajimwambafai.
7-Ushirikiano wa wadau mbalimbali ni mkubwa.
8-Directives za nini kifanywe na kwa wakati gani zipo na zinazingatiwa kwa kuwa mfumo wetu wa afya ni centrally controlled.
9-Upo mfumo madhibuti wa ufuatiliahi wa magonjwa ya milipuko.
10-Wanasiasa watanzania wamejitahidi sana kuheshimu maoni ya wataalsmu na kuwapa space ya kufanya kazi.
11-Tanzania imewahi kuchukua hatua sahihi kwa wakati kwa mujibu wa wataalamu.
Changamoto inayoweza kuwa kubwa ni uwepo wa vifaa mahsusi vya matibabu hivyo suluhisho lake ni mapambano makali ya kuzuia na sio kutibu.
Iwapo kila mmoja wetu atawasikiliza na kuwasupport wataalamu tutavuka salama.