COVID 19 PANDEMIC: Tanzania imejiaandaaje?

Hapo Arusha kuna soko kubwa zaidi ya hilo liliwahi kuungua na likajengwa upya.
Hata majengo ya fire brigade yanaweza kuungua sielewi unachoshangaa ni kipi
 
Hapo Arusha kuna soko kubwa zaidi ya hilo liliwahi kuungua na likajengwa upya.
Hata majengo ya fire brigade yanaweza kuungua sielewi unachoshangaa ni kipi

Ninashangaa huo uzembe, kwa hiyo sehemu zinaungua kwakuwa zinaweza kujengwa tena!?
 
Ole sabaya yu mkononi mwa polisi! Yupo kiongo sheria na haki vimetamalaki!
Kamfufue JPM
 
Ahsante kwa muongozo, ila changamoto ni nyingi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…