I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Asante kwa kunisahihisha.''Mahabara'' ndiyo nini tena hebu tukumshane.
Tukumshane ndio nini''Mahabara'' ndiyo nini tena hebu tukumshane.
Hehe...kweli watu mmevurugwaTukumshane ndio nini
basi sawa, "tutakum-Shana".Tukumshane ndio nini
Pia tukumshane ndiye nini tena? Mbona tunachanganyana hivi??''Mahabara'' ndiyo nini tena hebu tukumshane.
Maneno hayo yamesemwa ndani ya kikao cha baraza la senate nchini marekani na mwakilishi wa Maabara ya Pfizer akielezea changamoto wanazokutana nazo.
Inasemekana kwa sasa kumeanza kuibuka visa mbalimbali vitokanavyo na maudhi ya chanjo kwa wengi waliopatiwa chanjo hizo hapo awali.
#testsubjects
Sikiliza hapa:
Mwendazake hakuchanjwambonakafa