#COVID19 Covid-19: Rwanda yafunga shule, yazuia mikusanyiko ya kijamii, muda wa kutotoka nje waongezwa

#COVID19 Covid-19: Rwanda yafunga shule, yazuia mikusanyiko ya kijamii, muda wa kutotoka nje waongezwa

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
Ofisi ya Waziri Mkuu nchini Rwanda imeamuru kufungwa kwa shule na vyuo vikuu na kuzuia mikutano na mikusanyiko yote ya kijamii, kuanzia Julai 1.

Zuio la kutotoka nje kuanzia saa 1 jioni hadi saa 10 alfajiri limebadilishwa na amri ya kutotoka nje sasa itaanza saa 12 jioni hadi saa 10 alfajiri.

Shughuli kati ya Kigali na wilaya zingine pia zimepigwa marufuku isipokuwa kwa huduma muhimu, huku biashara zikitakiwa kufungwa ifikapo saa 11 jioni na migahawa kutoa tu huduma za “takeaway”.

Miongozo hiyo mipya imekuja wiki moja tu baada ya mkutano wa baraza la mawaziri kuweka miongozo mikali zaidi.

Rwanda imekuwa ikipata ongezko kubwa la maambukizi ya Covid-19 tangu mapema Mei ambapo rekodi za kila siku na vifo viliongezeka zaidi ya mara nne.

“Tunahitaji umma kushirikiana na kuzingatia hatua hizi ili kuona matokeo. Hatua hizi ziliimarishwa kudumisha kile tulichofanikiwa kufikia sasa. Hatua za awali zimefanya kazi na tunahitaji kushirikiana katika hili pia,” Waziri Mkuu Edouard Ngirente alisema.

======

Rwanda has imposed a partial lockdown to curb the surging cases of Covid-19.

A statement released by the Prime Minister’s office on Tuesday orders the closure of schools and universities and prohibits church services, meetings and all social gatherings, effective July 1.

The 7pm-4am curfew was revised and the curfew will now run from 6pm to 4am.

Movements between Kigali and other districts have been banned except for essential services, while business have been asked to close by 5pm. Restaurants will only offer takeaway services.

Kigali City and districts of Burera, Kamonyi, Gicumbi, Rwamagana, Rubavu, Nyagatare, Rutsiro and Musanze that have recorded more cases of infections will follow stricter guidelines than the rest of the country. Most of the above districts neighbour the Democratic Republic of Congo and Uganda that are experiencing a spike in infections.

The new guidelines come just a week after the cabinet meeting had tightened guidelines.

“Given the surge in Covid-19 cases, and the emergence of new variants globally, the government has decided to take additional measures to control the further spread of the virus,” the statement read in part.

Rwanda has been experiencing a severe surge in Covid-19 infections since early May where daily records and deaths increased over four times.

The Ministry of Health said that more young people are getting infected and dying from the virus, and more patients are symptomatic.

The spike is attributed to complacency in adhering to preventive measures by the public and the wave of infections in neighbouring Uganda and DR Congo.

“We need the public to collaborate and adhere to these measures to see results. These measures were tightened to sustain what we have achieved so far. The previous measures have worked and we need to collaborate on this as well,” Prime Minister Edouard Ngirente said.

As of Monday, Rwanda recorded 757 new infections and its positivity rate stands at 11 percent.

So far, Rwanda has vaccinated 391,739 people. It targets to vaccinate 60 percent of its 12 million population by July 2022.

Source: The Citizen
 
Tanzania naona wapo kimya ila tuchukue tahadhali
 
Kwani hawa nao wamefikia wapi hayo mapambano yao ya corona toka walivyoanza?
 
Natizama fainali ya EURO,watu wameshonana no social distance,no barakoa. Africa tusiwaige wazungu njaa na Maleria zinaua Africa kuliko Corona. Unawafungia watu ndani hela ya kuwapa unayo, huu ugonjwa ni wakuishi nao kama magonjwa mengine.
 
Closing everything does not guarantee safety against Covid 19.
 
Back
Top Bottom