CoViD-19: Siku 30 zijazo ndo muhimu zaidi kujitahadhari, angalia hili jedwali hapa

Hahahaha, kaka inaonekana wewe hujui machapisho ya kisayansi yanavyotolewa, huwa yanatolewa na kuchapishwa katika "official Medical and Scientific Books and News paper/Journals", Kaka wikipedia haikubaliki kama credible source duniani, sasa hivi ninaweza kubadilisha chochote na kuweka kile nikitakacho hapo wikipedia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuamini, jana nimemsikia waziri wenu na koinange sijui, akisema hivyo, zimeongezwa lini wakati jana ndio mmeanikwa hamna maabara zote hizo buda.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sielewi unachobisha, nimekuambia zilikua mbili na kuongezwa zaidi,
Unasababisha nihangaike kutafuta taarifa, kitu ambacho unaweza kukifanya ukiacha uzembe, soma hii article ya mwezi jana wakati kituo cha tatu cha Eldoret kiliongezwa ili kuwapiga tafu KEMRI na National Influenza Center.
Hayo ya uliskia waziri unayajua wewe, ila mimi nakupa taarifa ambazo zimekua published.

MTRH as a national testing centre for Covid-19 to complement the National Influenza Center and Kenya Medical Research Institute (Kemri).

Kenya to roll out Covid-19 testing centre in Eldoret
 
Tusaidie wewe unayejua maandiko yalipo yanayobishana na hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusaidie wewe unayejua maandiko yalipo yanayobishana na hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa utasemaje kubishana na kitu wakati hakuna science yoyote iliyowahi kutaja au kufanya utafiti kuhusu maisha na virusi katika nchi za Africa?. Tafiti zote zinafanyika kwa ajili ya dunia nzima, ukiambiwa Corona inashambulia binadamu, ujue ni binadamu popote alipo duniani, sasa wewe unayeanza kuigawa dunia na kusema Africa ni tofauti na dunia zingine, unapaswa kuonyesha utafiti unaosema hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unajua kwa nini wanasema tuoshe mikono??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali leta "link" tujisomee wacha maneno mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka uamini maneno yangu.
Na hili ni la mwisho kutumia akili yako,kama hutaki endelea kusubiri link.

Tazama nini hutokea wakati wa baridi msimu wa kipupwe!!!
Au

Nini hutokea wakati wa masika pale mtu anapomnyeshewa na mvua kwa muda mrefu
Au
Nenda maeneo yenye baridi kali au maeneo ya milima kwa ambaye hakuzoea maeneo hayo

Mafua huchuruzika kama maji na kifua kubana ndio matatizo yatakayojitokeza.

Kwa maneno mepesi
Kama hutaki siwezi kukulazimisha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lingine usilolijua,mataifa makubwa yote,huduma za afya ni biashara.Huwezi kuamka na kumkuta daktari anakusubiri.
Ili utibiwe ni lazima uombe na kupangiwa siku hivyo ktk dharura kama hii hospitali zitawahudumia wateja wao tu na si kwa kiwango cha mlipuko kama uliojitokeza.
Kwa kukumalizia ili usubiri link,
Ulaya hawahangaiki kwa sababu ni ugonjwa mpya bali wanateseka na mifumo yao ya kuwahudumia wagonjwa kwa dharura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba zimetimia 122, zoezi la kupima wengi kwa pamoja linaendelea.
 
Kati ya 372 waliopimwa jana, wanne (4) wamepatikana nacho.
Dah ila huu upimaji ni mzuri, yaani watu 372 kwa mpigo mmoja.
 
Ndani ya masaa 24, Kenya imefaulu kupima sampuli 532 na kugundua kesi 16, hivyo namba zimeongezeka na kuwa 142.
 
Hizi solution unazotoa hakuna nchi zimework out...
 
Ukiona hawataki kukukabidhi maiti ya ndugu yako ndio utajua hujui...
 
You are missing the point. Leo Kuna kionhozi US alikuwa anasema tena mbele ya waandishi wa habari kwamba kwa jinsi hali ilivyo kuna uwezekano mpaka janga liishe watu 100k watakuwa wamekufa ndani ya ardhi ya marekani....
 
Africa watu wengi wanaugua magonjwa yasiyoambukiza. Ukiona namba za vifo zimeanza kuskyrocket wala hata usishangae....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…